Hii hapa hotuba ya Rais wa Tanzania katika uzinduzi wa Uhamiaji mtandao (E - IMMIGRATION)

Rais wa Muungano wa Tanzania jana amezindua Mfumo wa Uhamiaji Mtandao(E-Immigration) ambao utasaidia kuimarisha Ulinzi na Usalama wa mipaka ya Nchi,kudhibiti ukusanyaji wa maduhuli ya serikali na kuimarisha utoaji wa huduma za kuuhamiaji kwa Raia wa Tanzania na wageni wanaoingia na kuishi Nchini kwa madhumuni mbalimbali.. Uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi kuu za Uhamiaji Jijini Dar Es Salaam tar, 31/01/2018 Na kuhudhuliwa na iongozi mbalimbali Wa serikali Nimekuwekea video hii hapa chini Itazame mwanzo mwisho.