Ufadhili wa Masomo (Government sponsorship)


UFADHILI WA MASOMO
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN
SPONSORSHIP ANNOUNCEMENT
THE APPLICATION DEADLINE: 12 JANUARY 2018
==========
ABOUT THE MINISTRY OF HEALTH TANZANIA
The President of the United Republic of Tanzania issued a Notice on assignment of Ministerial responsibilities (Instrument) vide Government Notice No.144 of 22nd April, 2016. In that Instrument, the President has created a Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly and Children which is mandated for formulation of
(a) Policies on Health, Community Development, the Elderly Children and Gender and their implementation.
(b) Preventive and Curative Services.
(c) Chemical Management Services.
(d) Medical Labaratory Services.
(e) Medical Research and Nutrition.
(f) Food and Drug Quality Services.
(g) Medical  Supplies.
(h) Promotion of Traditional and Altenative Medicine.
(i) Health Services Inspection.
(j) Family Planning.
(k) International Health and Medical Organisations.
(l) Coordination of NGO dealing with the functions under this sector.
(m) Coordination of International Organisation under this sector.
(n) Perfomance Improvement and Development of Human Resource Service and their Implementation under this ministry.
(o) Extre-Ministrerial Departments, Parastatal Organisation and Projects under this ministry.
The Ministry of Health & Social Welfare is responsible for the following:-
1.    Formulation of Health related policies
2.    Provision of:
o    Hospital services
o    Preventive services
o    Chemical management services
o    Forensic science services
o    Food and drug quality services
o    Reproductive Health services
o    Promotion of traditional medicine.
o    Inspection of health services.
o    Participating in international health and medical organizations.
o    Developing human resource under the Ministry.
o    Overseeing extra ministerial development parastatal and projects under the Ministry.
o    Supervising government agencies under the Ministry.
Mission
Committed to facilitate the provision of basic health services that are good, quality, equitable, accessible, affordable,  sustainable and gender sensitive.
Vision
To have a healthy society with improved social well being that will contribute effectively to individual and national development

 TANGAZO KWA UMMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto 
anawatangazia wanafunzi wote walioko vyuoni wanaosoma masomo ya Shahada za 
Uzamili (Masters Degree) katika fani za Afya kwamba Wizara imepata fedha 
zitakazowezesha ufadhili (Sponsorship) kwa baadhi ya Wanafunzi, na kwa baadhi ya 
maeneo, kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Hivyo, kwa Tangazo hili, wale wote wenye nia ya kuomba ufadhili wanatakiwa 
kuwasilisha maombi yao.
Ufadhili huu ni kwa ajili ya kulipiwa ada ya mafunzo (Tuition fee), pamoja na posho ya 
utafiti pindi mwanafunzi anapokuwa kwenye kipindi cha kufanya utafiti kama sehemu ya 
mafunzo yake (Dissertation allowance).
Vigezo vitakavyotumika kuchagua watakaowasilisha maombi yao ni hivi vifuatavyo :
1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili
2. Mwombaji kuwa Raia wa Tanzania.
3. Awe amedahiliwa Chuoni kuanza masomo kwa mwaka wa kwanza 2017/2018
4. Kipau mbele kitatolewa kwa:
a. Watumishi wa Serikali waliomo kwenye sekta ya Afya wanaofanya kazi katika 
vituo vilivyoko Wilayani/Mikoani ambao baada ya mafunzo watarudi 
kuendelea kufanya kazi katika vituo vyao vya awali, au watapangiwa vituo 
vya kazi sehemu nyingine yeyote nchini
b. Waombaji waliodahiliwa katika fani ambazo ni za msingi katika utoaji wa 
huduma za rufaa katika Hospitali za Rufaa za Mikoa. Nyanja hizo ni 
Anaesthisiology, Surgery, Neurosurgery, Obstetrics and Gynaecology, 
Orthopaedics Surgery, Emergency Medicine, Paediatrics, Internal Medicine, 
Critical Care in Nursing na Midwifery and Womens Health
c. Waombaji waliodahiliwa katika nyanja za Ubingwa/Ubingwa wa Juu
(Specialities na Super-specialities) zenye umuhimu mkubwa katika Hospitali 
za Kitaifa (kama Cardiology, Nephrology, na Oncology) ili kujenga uwezo wa 
ndani ya nchi katika jitihada za kupunguza wagonjwa wa rufaa wanaotibiwa 
nje ya nchi.
5. Aidha, mwombaji atatakiwa awe:
a. na barua ya ruhusa ya masomo kutoka kwa mwajiri wake (iambatanishwe)

b. Tayari kuingia mkataba wa kuitumikia Serikali kwa muda usiopungua miaka 5 
baada ya kuhitimu mafunzo. 
c. Hana ufadhili mwingine wa masomo yake
Tangazo hili linafuta ufadhili uliokuwa umetolewa awali kwa wanafunzi wa mwaka wa 
kwanza wanaosoma masomo ya Shahada za Uzamili katika Chuo Kikuu cha Afya na 
Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Chuo Kikuu Dodoma (UDOM). Hivyo 
wanafunzi waliokuwa wamechaguliwa watapaswa kuomba upya kwa kuzingatia vigezo 
vilivyowekwa kwenye tangazo hili.
Aidha kwa kuwa wanafunzi wamekwisha ripoti vyuoni wahakikishe barua za maombi 
zinapitishwa kwa Wakuu wa Vyuo ili kuthibitisha kuwa mwanafunzi yuko chuoni.
Tangazo hili linahusu wale walioko vyuoni kwa mwaka wao wa kwanza wa masomo wa 
2017/2018 tu. 
Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 12/01/2018. 
Maombi yote yaelekezwe kwenye anuani ifuatayo;
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Chuo Kikuu Dodoma,
Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii
S.L.P 743
DODOMA

CLICK HERE FOR MORE DETAILS 

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)