JOHN HECHE: WAZIRI WA AFYA AJITOKEZE ATOE TAARIFA ZA COVID_19


Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche amemtaka Waziri wa Afya kuondoa sintofahamu zinazoendelea mitandaoni dhidi ya taarifa za Covid-19.

" Waziri wa Afya ajitokeze aseme Nini kinaendelea ili kufuta Hizi tetesi kwenye mitandao. Hapa Sasa ndio wakati wa serikali kuonesha Kama kwelibl inawajali wananchi wake. Serikali haiwezi kusema inakujali kwa kununua ndege , Bali kwa kulinda afya yako " John Heche.

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)