RAIS BRAZIL: SAWA WAMEKUFA WATU 5,000 KWAHIYO MI NIFANYEJE



Rais wa Brazil Joir Borsonaro amewajibu waandishi wa habari pale walipo muuliza Juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Covid-19, Rais Jair amewajibu kwa kuwaambia tayari watu wameshakufa Kwahyo wao wanataka yeye afanyaje??

Rais Jair pia amewapa pole wafiwa wote na kuwaambia kifo Kipo tu , Hata yeye anaweza kufa kesho.

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)