FAIDA ZA MUAROVERA

🌵FAIDA NA.KAZI YA ALOVERA KATIKA NGOZI YAKO🌵


🌵Alovera ni mmea wenye kuwa na wingi wa vitamin A&C... na ant-inflammatory na antioxidants ambazo husaidia sana ngozi husaidia ngozi kupambana na magonjwa ya ngozi,makovu na chunusi


🌵Alovera ni nzuri sana katika kupambana ma miyale ya jua isidhuru ngozi yako.. maana mnajua jinsi jua linavyoumiza ngozi

🌵Inatibu magonjwa ya ngozi na kuondoa miwasho kwenye ngozi.. na ule wekundu unaotokana na muwasho au matumzi ya cream kali kwenye ngozi..au kuungua na jua na kuleta wekundu kwenye ngozi


🌵Alovera ni antibacteria nzuri sana kwenye ngozi..so jua kua ukitumia alovera ww kila siku hautakuja pata chunusi kamwe.. maana unakinga madhubuti ya bacteria wabaya wanaosababisha chunusi😀

🌵Alovera inasaidia sana ngozi kuvutika na kuzuia mikunjo uzee👍 kwaheli.. inakupa muonekano mzuri sana. Bonge moja la anti aging 😀

🌵alovera inaondoa makovu na pigmentation (sugu za kuungua na jua usoni ule weusi wa usonivkwenye mashavu na pua)

🌵Wale wenye ngozi za kupasuka hasa kwenye barid

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)