JINSI YA KUTUNZA NGOZI YAKO

🧖‍♀️JINSI YA KUTUNZA NGOZI YA MWILI WAKO

🧖‍♀️Hakikisha unaoga,kwa brush..tafuta sabuni nzuri kwa kuifanya ngozi yako ingae vizuri kama unavyoitibu ngozi ya uso wako

🧖‍♀️Scrubing ni muhimu sana kwenye mwili wako.. mwili wetu unazalisha mafuta tunatoka jasho hivyo scrubing ni muhimu sana kuondoa uchafu  na dead skin... so hakikisha kwa week unafanya scrubing ya mwili mara 3😛

🧖‍♀️Tafuta njia sahihi ya kufanya shaving sehemu usika.. za mwili wako.. nayo ni waxing 

🧖‍♀️Tafuta mafuta mazuri ya unyevi unyevu yanayofaa kwa kuifanya mda wote ngozi yako iwe angavu mda wote

🧖‍♀️Jitaidi walau kufanya bidy sterming 😛😛 kujifukiza babyyyyy😛😛

🧖‍♀️MWANAMKE KUOGA BANA SIO UNALASHIA LASHIA MWILI UNAKIMBIA

🧊B NATURAL UREMBO TIPS

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)