MAHUSIANO MAPYA

"Mahusiano mengi mapya ya Kimapenzi tunayoanzisha hayadumu kwasababu hakuna tunachojifunza kutoka kwenye Mahusiano yaliyopita zaidi ya kuwalaumu tuliokuwa nao katika Mahusiano hayo lakini tukitoka na Funzo toka kwenye Mahusiano yaliyopita itasidia kudumu kwenye Mahusiano mapya na hata tutakapoingia kwenye Ndoa✍🏼"

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)