MAUMIVU
Watu wengi wanafikiria kwamba maumivu makali katika maisha huja pale unapojikuta umeachana na Yule mtu ambae ulikuwa unamthamini Sana, lakini ukweli nikwamba maumivu makali ni pale unapojipotezea mwenyewe katika harakati za kumthamini mtu Sana nakujikuta unajisahau kama nawewe ni wathamani pia na unafaa uthaminiwe..... 🍒🍒
Comments
Post a Comment