SKIN LIGHTENING VS SKIN WHITENING

*LIGHTENING* vs *BRIGHTENING* vs *WHITENING*

🔶SKIN WHITENING- Hii inapunguza uzalishaji wa rangi ya ngozi ( melanin) kwa asilima kubwa sanaaa.yani inaweza kustop uzalishaji KABISA. Yani Kama upo mweusi unaweza pata rangi Kama ya mzungu haswa.. 
🔶INGRIDIENTS:
🌼MERCURY
🌼HYDROQUINONE


Hii ni wanatumia CHEMIKALI Kali  Sana na madhara yaki Ni makubwa..
🌼 *MADHARA* 🌼
🔸kuungua ngozi na  jua
🔸cancer 
🔸tango tango  
🔸 matatizo ya ngozi Kama kuwashwa (sensitivity). 

🔶SKIN LIGHTENING -  hii inapunguza uzalishaji wa rangi ya ngozi..kwa utaratibu..pole pole..Sana unakuta ATA mwezi. 

🌼INGRIEDIENTS🌼
🔶ALPHA BUTIN.
🔶AZELAIC ACID
🔶LICORICE POWDER
🔶MULBERRY POWDER.
🔶GLUTATHIONE.
🌼 *MADHARA*🌼
🔸kuungua na jua 
🔶Hypepigmentation (ukiacha Kama ulikuwa mweusi unaweza kuwa  mweusi zaidi ama mweupe zaidi ama rangi haina uiano)
I'la unaweza balance na mafuta asili... Hadi ngozi ikubali.
🔸Ukiacha kutumia madhara yake tu nikurudi Kama ulivyo kuwa endapo mafuta yako hayana michango mingine  Kam Ina Ingriedients za hapa juu haina tatizo



NB: TUCHEKI KWA USHAURI AU KWA HUDUMA MAFUTA YA ASILI YASIYO NA MADHARA

Whatsapp 0767514718 ,SMS 0627109810

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)