WEUSI CHINI YA MACHO NA TIBA YAKE

SABABU ZA WEUSI CHINI YA MACHO

👁️Kuchelewa kulala team popo huu weusi hautakuacha salama

👁️Ngozi nyepesi chini ya macho

👁️Allergis pia husababisha huo weusi

👁️Mwili wako ukizalisha zaid melanin

👁️Kupungua kwa uzalishaji wa mafuta kwenye macho

👁️mwili kuzalisha sana madini chuma

👁️Kuchomwa jua sana pia huletashida hiyo

👁️Umri kusogea pia shida

👁️kuvuta sigara.. pia huleta hiyo shida

👁️kurithi pia ni chanzo cha wrusi chini ya macho

TIBA YAKE

👁️Kahawa ni nzuri kuondoa weusi chini ya macho chukua coffe (b natural coffe scrub)paka kuzunguka jicho acha ikauke osha

👁️Facial fanya sana facial kwenye uso wako

👁️Vitamin E and C serum nzuri sana kwa ulinzi wa kuondoa weusi chini ya mavho

👁️Eye cream tuwe na utaratibu w kupaka jmn 😀😀😀 Unapaka cream usoni alafu unapitisha kwenye macho

👁️Alovera gel pia nzuri sana maana ina UV ray

Whatsapp 0767514718 , SMS 0627109810

TUTAKUPA DAWA NA USHAURI

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO CHA TIKITI MAJI( WATER MELONY)