Posts

Showing posts from April, 2020

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AFARIKI DUNIA

Image
Rais Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt.Augustine Mahiga(Mbunge) kilichotokea leo alfajiri Mei 01,2020 Dodoma, Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Dodoma na amefikishwa Hospitali akiwa tayari ameshafariki. • Pamoja na umri wake mkubwa na uzoefu wa kushika madaraka katika nyadhifa mbalimbali za Kitaifa na Kimataifa, Marehemu Balozi Mahiga, alikuwa mnyenyekevu na mtiifu kwa kila jukumu nililompa”-JPM #RIPMzeeWetu 🙏

NCHI AMBAZO HAZIJARIPOTI VISA VYA COVID_19 HADI SASA

Image
> Comoros, Kiribati, Lesotho, Visiwa vya Marshall, Micronesia, Nauru, Korea Kaskazini, Palau, Samoa, Visiwa vya Solomon, Tonga, Turkmenistan, Tuvalu na VVanuatu

WAZIRI MKUU AKUTWA NA COVID_19

Image
Waziri Mkuu wa Russia Mikhail amekutwa na virusi vya corona na tayari ameachia madaraka kwa Naibu wake, mpaka sasa Watu 1073 wamefariki kwa ugonjwa wa covid19 Russia huku Wagonjwa wakiwa zaidi ya 100000, Mikhail ndiye Kiongozi wa juu kuumwa corona Nchini humo.

WAZIRI UMMY MWALIMU: HAKUNA TUNACHOKIFICHA KWENYE TAKWIMU ZA COVID_19

Image
                                                                                                                                  WATCH/DOWNLOAD

WHAT IS QUARANTINE: TEACHER MPAMIRE

Image
                                        WATCH/DOWNLOAD                          

MASK FOR COVID_19 PROTECTION

Image
                                                WATCH/DOWNLOAD

ALIYE MZUSHIA KIFO GROLIA WA TBC ATIWA MIKONONI MWA POLISI

Image
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limemkamata Agnes Ndimu kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo zinazoelezea kuwa mtangazaji wa TBC Gloria Michael amefariki kutokana na Covid-19, katika magroup ya WhatsApp. #MHUpdates

MAREKANI: TRUMP KUTOKUONGEZA MUDA WA KUKAA NDANI( LOCKDOWN)

Image
> Rais Trump alisema Majimbo yanaweza kuanza kuondoa zuio hilo kuanzia Mei Mosi > Wadau wake wa karibu akiwemo mshauri wake, Jared Kushner wametabiri zuio hilo linaweza kujirudia tena Julai #MHUpdates

RAIS BRAZIL: SAWA WAMEKUFA WATU 5,000 KWAHIYO MI NIFANYEJE

Image
Rais wa Brazil Joir Borsonaro amewajibu waandishi wa habari pale walipo muuliza Juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Covid-19, Rais Jair amewajibu kwa kuwaambia tayari watu wameshakufa Kwahyo wao wanataka yeye afanyaje?? Rais Jair pia amewapa pole wafiwa wote na kuwaambia kifo Kipo tu , Hata yeye anaweza kufa kesho.

SABABU ILIYO MTOA JONIJOO WASAFI MEDIA

Image
                                                                          WATCH/DOWNLOAD

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO APRL 30 2020

Image

#COVID_19 MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO APATA MAAMBUKIZI

Image
> Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ametangaza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku 3 zilizopita. #MHUpdates

MAJAMAA DRAMA (OKA+ CARPOZA)

Image
                                                                                 WATCH/DOWNLOAD

JOHN HECHE: WAZIRI WA AFYA AJITOKEZE ATOE TAARIFA ZA COVID_19

Image
Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche amemtaka Waziri wa Afya kuondoa sintofahamu zinazoendelea mitandaoni dhidi ya taarifa za Covid-19. " Waziri wa Afya ajitokeze aseme Nini kinaendelea ili kufuta Hizi tetesi kwenye mitandao. Hapa Sasa ndio wakati wa serikali kuonesha Kama kwelibl inawajali wananchi wake. Serikali haiwezi kusema inakujali kwa kununua ndege , Bali kwa kulinda afya yako " John Heche.

RUVUMA: MBARONI KWA KUDANGANYA UMMA KUWA PILIPILI INATIBU COVID_19

Image
• - Polisi Mkoani Ruvuma wanamsbikilia mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wa UDOM, Ibrahim Peter (26) kwa kuandika na kusambaza ujumbe katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona - Ambapo ujumbe huo wa kupotosha umma unasema "Dawa ya Corona twanga Pilipili Kichaa Sufuria 1, halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa Mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma Upupu kisha jipake mwili mzima" > Aliandika Ibrahim Peter NOTE :(Ujumbe huo hapa Juu sio dawa ya Corona)

HABARI ZILIZO TIKISA KURASA ZA MAGAZETI LEO 29 Apr. 2020

Image

New video: OKA MARTIN HELLOW X( Not official)

Image
                                              WATCH/DOWNLOAD

New video: Rosa ree ft Rayvanyy Sukuma Ndinga remix( Official video)

Image
                                              WATCH/DOWNLOAD

MAGAZETI YA LEO TAR: 28.04.2020

Image