WEUSI CHINI YA MACHO NA TIBA YAKE
SABABU ZA WEUSI CHINI YA MACHO 👁️Kuchelewa kulala team popo huu weusi hautakuacha salama 👁️Ngozi nyepesi chini ya macho 👁️Allergis pia husababisha huo weusi 👁️Mwili wako ukizalisha zaid melanin 👁️Kupungua kwa uzalishaji wa mafuta kwenye macho 👁️mwili kuzalisha sana madini chuma 👁️Kuchomwa jua sana pia huletashida hiyo 👁️Umri kusogea pia shida 👁️kuvuta sigara.. pia huleta hiyo shida 👁️kurithi pia ni chanzo cha wrusi chini ya macho TIBA YAKE 👁️Kahawa ni nzuri kuondoa weusi chini ya macho chukua coffe (b natural coffe scrub)paka kuzunguka jicho acha ikauke osha 👁️Facial fanya sana facial kwenye uso wako 👁️Vitamin E and C serum nzuri sana kwa ulinzi wa kuondoa weusi chini ya mavho 👁️Eye cream tuwe na utaratibu w kupaka jmn 😀😀😀 Unapaka cream usoni alafu unapitisha kwenye macho 👁️Alovera gel pia nzuri sana maana ina UV ray Whatsapp 0767514718 , SMS 0627109810 TUTAKUPA DAWA NA USHAURI